Jina lake la Passport aitwa Laureen Woods. Ni actress wa picha za kikubwa ambaye ametangaza kuachana na Mambo hayo na kufanya mambo mengine mbali na ku ecti picha hizo za kikubwa aka "bluu" kwa kinywa chake ametamka kua movie hizo zimemkosesha raha mtaani na pia kutokuajiriwa kutokana na movie hizo..