Monday, June 17, 2013
KURUDIANA KATI YA AMINI NA LIHAH,AMIN ALIONGOPA AMA WAMEPIGANA CHINI TENA.?
Saturday, June 15, 2013
Mtu wa Nguvu ashambuliwa na watu wake Wa Nguvu
Katika hali isiyo kawaida jana Mtu wa Nguvu alipost
status facebook iliyokua na link zenye picha ya Show ya Mwana Fa, Baada ya tukio ndipo watu wa nguvu wakaanza mshambulia kwa maneno, wengine wakimpa ushauri, na wengine hata matusi pia.. ila cheki mwenyewe hizo comments katika hiyo post, zingine nimeshindwa kuziweka maana zina matusi mazito nikaona si vyema kuyaweka hapa..
Friday, June 14, 2013
Thursday, June 13, 2013
Mke amfumania Mumewe akifanya vitendo vya ushoga!
Vanessa Ajia Juu, BAB KUBWA
Mtangazaji wa Choice Fm, mwanamuziki,
balozi wa vijana Tanzania, ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha
Gazeti la Babukubwa kuweka picha tofauti na walizokubaliana kwenye
ukurasa wa mbele ambao ndio ukurasa wa mauzo wa gazeti (front page)
Subscribe to:
Posts (Atom)