Week chache zilizopita mtu mzima Amin
aliongea exclusive teentz na kusema kuwa yeye na dada etu Linah
wameludiana kimapenzi,ingawa side B kwa upande wa Linah hakusema
chochote kuhusu ishu hiyo
kupitia instagram Fineassgirl aka Masogange amepost picha ya Linah na
Mshikaji anayemwita kaka .picha na maelezo vikionyesha hawa wawili
tayari wana mchezo wa i love you,i love you too
…
So amin aliongopa ama wameachana tena???
............................NOMA SANA..........
Source: TeenTz
No comments:
Post a Comment