Friday, April 12, 2013

Nicki Minaj Na Spika Zake

Wakati wasanii wengine wamekua wakija na Headphones zao Kama Ludacris "Soul By Luda" na 50 "Street King" Mdada minaj ameamua kuja kitofauti kabisa....

 Hii ndio biashara mpya ambayo Nicki Minaj ameamua kuanza kuifanya kwa sasa kwa kutengeneza spika ndogo ambazo amezipatia jina Pink Pills ambazo kimsingi watumiaji wake walengwa ni madada duuz... Barbies.



 Mpango huu umefanyika kwa Nicki Minaj kuungana na kampuni kubwa ya Beats Electronics ya Dr Dre ambayp kwa sasa bidhaa yake ya Headphones za Beats By Dre inafanya poa duniani kote, na Pink Pills ni aina ya spika ambazo hutumia bluetooth connection kupick na kucheza muziki ama sauti yoyote.
Bidhaa hizi zimeshatoka na leo hii tangazo lake ta TV limezinduliwa rasmi na bei ya speaker moja ni dola 199 kwa saa, zaidi ya shilingi laki 320 za kitanzania.

Source: mitandao mbalimbali na Sammisago.com

No comments:

Post a Comment