Monday, April 8, 2013

Wasiosajili line wako matatani

Kituo cha Redio Clouds Fm jana Jumatatu ktk kipindi cha Jahazi imeripoti kwamba wasiosajili line ya simu utakwenda Jela Miezi 3 au Faini ya Tsh Million 5 au vyote kwa pamoja samahani sana kwa hiyo picha hapo juu kuonekana kadogo..

No comments:

Post a Comment